Nenda kwa yaliyomo

Fred Mbiti Gideon Mati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fredrick Mbiti Gideon Mati alikuwa spika wa bunge wa kwanza Mwafrika na aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi katika bunge la kenya, baada ya kuchaguliwa kuwa spika tarehe 6 Februari 1970, akichukua nafasi ya Humphrey Slade, na kuhudumu hadi Aprili 1988. [1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kenneth Kwama. "Fred Mati, the House Speaker of many firsts", 12 November 2013. 
  2. Colony and protectorate of Kenya, 12th council, 1961–1970.
  3. Kenya National Assembly Official Record (Hansard): Feb. 6 - Mar. 20, 1970. 6 Februari – 20 Machi 1970. uk. 3.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)