Frederico Rodrigues de Paula Santos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Fred)
Fred

Fred (jina kamili: Frederico Rodrigues de Paula Santos; alizaliwa tarehe 5 Machi mwaka 1993) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Manchester United na timu ya taifa ya Brazil.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederico Rodrigues de Paula Santos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.