Francisco de Aguiar y Seijas
Mandhari
Francisco de Aguiar y Seijas y Ulloa (Betanzos, La Coruña, 11 Februari 1632 – Mexico City, 14 Agosti 1698) alikuwa mkleri wa Hispania na askofu, maarufu kama askofu wa Michoacán na askofu mkuu wa Mexico.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |