Nenda kwa yaliyomo

Francesco Reda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francesco Reda (alizaliwa 19 Novemba 1982) ni mchezaji wa baiskeli wa kitaalamu kutoka Italia, ambaye kwa sasa amesimamishwa kutoka kwa mchezo baada ya kupatikana na dawa za kuongeza nguvu, erythropoietin (EPO).[1]

  1. "Francesco Reda". ProCyclingStats. Iliwekwa mnamo 19 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francesco Reda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.