Frances Goodman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Frances Goodman
Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Kazi yake Msanii




Frances Goodman (alizaliwa 1975) ni mwanamke msanii wa Afrika Kusini ambaye kwa sasa anaishi Johannesburg. Kazi zake zinatumia sana misumari ya akriliki na vifaa visivyofunuliwa na "anavutiwa sana na uhusiano kati ya uke, gharama na maigizo" [1][2]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Kwanzia 1994-1997, Goodman amefanya kazi kwenye chuo kikuu cha Witwatersrand mjini Johannesburg akiwa na shahada ya Sanaa .Baadae akaamia mjini London kusoma Goldsmiths Collage mwaka 1999, akapokea shahada ya udhamini kwenye Sanaa mnmo mwaka 2000. Baada ya hapo akahudumia kama mshindi kwenye taasisi ya juu Zaidi ya Sanaa huko Antwerp,Belgium kwanzia mwaka 2001 mpaka2003.[3]

Maonesho na Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Goodman amekua kwenye maonesho makubwa kwanzia 2002, akiwa peke yake na pia na maonesho ya makundi akionesha Ulaya, Amerika ya Kusini, na Afrika. [4][5] In 2012, she was a resident at the International Studio & Curatorial Program in New York City.[6][7] In 2012, she was a resident at the International Studio & Curatorial Program in New York City.[6] She was a recipient of the Cecily Brown Fellowship for Outstanding Woman Artists in 2014.[8]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Goodman mara nyingi hutumia kope bandia, kucha bandia, hereni za lulu bandia na vingine kawaida ‘’kama mwanamke’’ nyenzo za kutengeneza sanamu zake na mitambo yake,akiangalia tamaa za kila siku na tabia za juujuu[kama ukali kwenye mikusanyiko ya ndoa na uzuri].[6] “Wanawake mara nyingi huombwa kufanya chaguzi zakuwashawishi kuhusiana na miili yetu’’ anasema Goodman. ‘’Kucha bandia na kope bandia,huenda kinyume na hiko.Una uwezo wakuwa wagharama,kuwa mtu mwingine kabisa,hauwi mfano wa jinsi mwanamke anavotakiwa kuwa.Unakuwa kinyume’’[9][10]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Rodney, Seph (31 March 2016), South African Artist Nails It with Sculptures Made from Thousands of Press-Ons, Hyperallergic, retrieved 26 November 2017 
  2. Frances Goodman "Beneath Her", NY Art Beat, 2017, archived from the original on 2021-04-10, retrieved 26 November 2017 
  3. Frances Goodman, Zeitz Museum of Contemporary Art Africa, 2017, retrieved 26 November 2017 
  4. Bio, Frances Goodman, 2017, archived from the original on 2021-04-10, retrieved 26 November 2017 
  5. Frances Goodman, Elle Decor, 16 December 2013, archived from the original on 2018-11-04, retrieved 26 November 2017 
  6. 6.0 6.1 6.2 Past Resident 2012: Aeroplastics Contemporary Artist Frances Goodman, International Studio & Curatorial Program, 2012, retrieved 26 November 2017 
  7. Frances Goodman, Elle Decor, 16 December 2013, archived from the original on 2018-11-04, retrieved 26 November 2017 
  8. Frances Goodman, Richard Taittinger Gallery, 2017, retrieved 26 November 2017 
  9. Cohen, Alina (26 January 2016), South African Artist Explores Feminism Through Intimate Sculptures, Vice Media, retrieved 26 November 2017 
  10. Frances Goodman, smac art gallery, retrieved 26 November 2017 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]