François Naoueyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

François Naoueyama (alizaliwa tarehe 31 Januari 1957) ni mchezaji wa mpira wa kikapu na raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.[1] Alikuwa mmoja kati ya wachezaji wa timu ya taifa iliyoshiriki Olimpiki mwaka 1988. Alifunga jumla ya pointi 47 kwenye michezo 7 .[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. François Naoueyama Photos, News and Videos, Trivia and Quotes - FamousFix. FamousFix.com. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
  2. "François Naoueyama", Wikipedia (in English), 2020-08-30, retrieved 2022-09-02