Nenda kwa yaliyomo

Fort Worth, Texas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Fort Worth, Texas

Fort Worth ni mji wa tano kwa ukubwa katika Texas na ni mji wa 18 kwa ukubwa katika orodha ya miji ya Marekani. Mjii huu umepata kuwa mkubwa kuliko hadi kutuhubutu hata kuuingilia mji mwingine mkubwa wa Dallas, Texas. Kwa kigezo hicho, mara nyingi maeneo hayo hufupishwa na kuitwa kama Dallas/Ft. Worth, au DFW.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fort Worth, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.