Firdusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hakim Abul-Qasim Firdusi Tusi (935-1020) (Kiajemi: حكیم ابوالقاسم فردوسی توسی) au Firdusi alikuwa mshairi nchini Uajemi aliyezaliwa mjini Tus. Alitunga Shahname (Kitabu cha Wafalme) ambayo ni kitenzi cha historia ya Uajemi kabla ya uvamizi wa Kiislamu.


Firdausi alitumia miaka 35 kukamilisha kitenzi hiki. Kinatazamiwa kuwa kitenzi cha kitaifa cha Uajemi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Firdusi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.