Nenda kwa yaliyomo

Fiona Harvey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fiona Clare Harvey ni mwanahabari wa mazingira katika gazeti la Uingereza la The Guardian. Awali alifanya kazi kwa gazeti la Financial Times kwa zaidi ya miaka kumi.. [1] [2] Ameshinda tuzo mbalimbali zikiwemo: Mwanahabari wa mwaka wa Tuzo za Mazingira na Vyombo vya Habari wa Uingereza, na tuzo ya Chama cha Wanahabari wa Kigeni kwa Hadithi ya Mwaka ya Mazingira (mara mbili). [3] Mnamo mwaka 2020, alijumuishwa katika orodha ya BBC Woman's Hour ya wanawake nchini Uingereza wanaosaidia zaidi mazingira. [4]

  1. "Fiona Harvey – RSA". www.thersa.org. Iliwekwa mnamo 2023-12-13.
  2. "Fiona Harvey". Bulletin of the Atomic Scientists (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-12-13.
  3. "Speaker Fiona HARVEY". IUCN World Conservation Congress 2020 (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-12-13.
  4. "BBC Radio 4 – Woman's Hour – Woman's Hour Power List 2020: The List". BBC (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-12-13.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fiona Harvey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.