Finn Wolfhard
Finn Wolfhard | |
---|---|
![]() | |
Amezaliwa | Disemba 23, 2002 |
Finn Wolfhard (amezaliwa 23 Disemba 2002) ni mwigizaji na mwanamuziki kutoka Kanada [1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Chaney, Jen (July 25, 2016). Stranger Things' Finn Wolfhard on Kissing Scenes and How He Became an Actor.