Finn Balor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Finn Balor

Finn Balor (aliyezaliwa 25 Machi 1981) ni mpiganaji wa mieleka kutoka nchi ya Ireland.

Kwa sasa amesainiwa na WWE na anapigana chini ya RAW.

Finn alijiunga na WWE mnamo tarehe 28 Julai 2014 na 24 Septemba mwaka huohuo alianza rasmi kupigana.