Fin Komodo
Mandhari
Kampuni: | Fin Komodo |
Aina: | KD 250 X |
| |
Inchi za Kuzalisha | Indonesia |
Abiria: | 2 |
Injini: | Petroli, Silinda 1 |
Upana: | 1.75m |
Urefu: | 2.65m |
Urefu wa Juu: | 1.46m |
Uzito: | 320kg |
Fin Komodo KD 250 X ni gari kutoka Indonesia. Ni gari ndogo, lakini inatumikana kwa kazi ya gari la wagonjwa.