Fikira
Mandhari
Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea.
Fikra husaidia na maamuzi: wanyama mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na kufikiria na kuvumbua vitu ambavyo vinahitajika. Bila fikra za mawazo, dunia isingeendelea sana.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Eric Baum (2004). What is Thought, Chapter Two: The Mind is a Computer Program. MIT Press. ISBN 0-262-02548-5
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Corballis, Michael C. "The Uniqueness of Human Recursive Thinking". American Scientist (Mei-Juni 2007). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2009-02-25. Iliwekwa mnamo 2007-04-23.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fikira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |