Festus Bulugu Limbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Festus Bulugu Limbu (amezaliwa 19 Aprili, 1956) ni mbunge wa jimbo la Magu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Festus Bulugu Limbu (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]