Nenda kwa yaliyomo

Fermín Emilio Sosa Rodríguez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fermín Emilio Sosa Rodríguez (alizaliwa 12 Aprili 1968) ni askofu mkuu kutoka Meksiko katika Kanisa Katoliki ambaye anahudumu katika utumishi wa kidiplomasia wa Vatikani.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.