Faze
Mandhari
Chibuzor Oji (anajulikana zaidi kwa jina la kisanii Faze) ni mwanamuziki na mwigizaji wa Nigeria.
Faze alikuwa mwanachama wa kundi lililokuwa la muziki la hip hop la Nigeria Plantashun Boiz, pamoja na BlackFace Naija na 2face Idibia.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "BREAKING: Nigerian Singer, Sound Sultan Is Dead | Sahara Reporters". saharareporters.com. Iliwekwa mnamo 2023-11-08.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Faze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |