Fatou Camara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Fatoumata Fatu Camara (pia anajulikana kama ‘’’Fatou Camara’’’) ni mtangazaji wa runinga na mwandishi wa habari nchini Gambia.

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Camara ni mtoto wa kike wa Modou Lamin Camara na Fatou Njie. Alisoma shule ya Msingi ya Walemavu wa Ngozi ‘’Albion Primary School’’na baadae elimu ya kati katika ‘’Gambia High School’’.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]