Fatima Achimo
Mandhari
Fatima Achimo (1931 - 2011) alikua mwanasiasa wa Madagaska. Fatima alikua mtoto wa mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo, alifanikiwa kupata stashahada yake ya ufundishaji mwaka 1963 na baada ya hapo alishiriki katikamakongamano ya elimu. Baada ya muda aligeukia kwenye siasa huku akikiwakilisha chama cha Democratic Party of Madagascar, alikua mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya useneta wa madagaska kuanzia mwaka 1966 mpaka 1971. Alifanikiwa kuwa katibu mkuu wa nchi chini ya raisi Philbert Tsiranana.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Julian Rakotoarivelo (2019-03-08). "Fatima Achimo, une femme à double facette -". Midi Madagasikara (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
- ↑ "Inauguration de l'avenue Princesse Fatimo Achimo". latribune.cyber-diego.com (kwa Kifaransa). 2011-10-22. Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
- ↑ https://www.eces.eu/template/default/documents/Recueil%20sur%20la%20participation%20politique%20des%20femmes%20a%20Madagascar%20Version%20electronique.pdf