Nenda kwa yaliyomo

Fanta Siby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fanta Siby (alizaliwa mwaka 1962) alikua daktari na waziri wa afya na maendeleo ya jamii nchini Mali.[1][2]

Alihitimu udaktari wa madawa katika chuo kikuu cha Bamako mwaka 1990.

Alichaguliwa kuwa waziri wa afya na maendeleo ya jamii oktoba 5 mwaka 2020 na kukaimiwa nafasi yake juni 11 mwaka 2021 na Dieminatou Sangare.[3]

  1. "Biographie de Dr Fanta SIBY". www.sante.gov.ml (kwa Kifaransa). 2020-10-08. Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
  2. U. S. Mission Mali (2021-01-19). "U.S. Embassy donates more COVID-19 supplies to Malian Minister of Health". U.S. Embassy in Mali (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
  3. "anciens ministres". www.sante.gov.ml (kwa Kifaransa). 2021-06-22. Iliwekwa mnamo 2024-09-28.