Fadhila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fadhila ni jambo litolewalo bila kuombwa wala kutegemea malipo.

Mfano: uhai wa binadamu ni fadhila kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Visawe: wema, msaada.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fadhila kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.