Evans Chebet
Mandhari
Evans Kiplagat Chebet (alizaliwa Novemba 10, 1988) ni mwanariadha Mkenya wa mbio za masafa marefu anayeshindana katika mbio za barabarani. Mnamo 2022, alikua mwanamume wa tatu katika karne hii kushinda Boston Marathon na New York City Marathon. Chebet alitetea kwa mafanikio taji lake katika Boston Marathon ya 2023 kwa ushindi wake wa tatu mfululizo katika World Marathon Major. Aliimaliza katika nafasi ya tatu kwenye Berlin Marathon ya 2016.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Evans Chebet Wins Crazy 2022 NYC Marathon". LetsRun.com (kwa Kiingereza). 2022-11-06. Iliwekwa mnamo 2022-11-06.
Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Evans Chebet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |