Nenda kwa yaliyomo

Ethiopian Records

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Endeguena Mulu (alijulikana kwa jina lake la kisanii la Ethiopian Records, alizaliwa Addis Ababa, Ethiopia, 1987) ni mtayarishaji wa muziki Muziki wa kielektroniki kutoka Ethiopia.