Esta TerBlanche
Mandhari
| Esta TerBlanche | |
|---|---|
| Amezaliwa | 7 Januari 1973 Rusternburg Afrika Kusini |
| Amekufa | 19 Julai 2024 |
| Kazi yake | Mwigizaji |
Esta TerBlanche (7 Januari 1973 - 19 Julai 2024) alikuwa mwigizaji wa kike nchini Afrika Kusini, akijulikana sana kwa kazi zake kwenye runinga kote Afrika Kusini na Marekani.[1][2][3]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]TerBlanche alizaliwa Rustenburg, Transvaal (sasa Mkoa wa Kaskazini Magharibi ). Alikuwa na asili ya Huguenot . Alikulia kwenye shamba la wanyamapori, likiwa limejaa nyani, ng'ombe, farasi, kondoo, ngiri, na pofu .
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "About the Actors: Esta TerBlanche Archived 19 Septemba 2010 at the Wayback Machine," Soap Central. Retrieved 23 October 2011.
- ↑ "Soap Suds Archived 22 Julai 2024 at the Wayback Machine," Bartow Press, 25 August 1997, p. 4. Retrieved 12 August 2012.
- ↑ "Soap Bubbles Archived 22 Julai 2024 at the Wayback Machine," Calhoun Times and Gordon County News, 16 August 1997, p. 17. Retrieved 12 August 2012.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Esta TerBlanche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |