Esha Salimu Buheti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Esha Salimu Buheti ni mwigizaji wa filamu wa kike kutoka Tanzania.[1]

Filamu alizoshiriki[hariri | hariri chanzo]

  • 1. Faza Hausi[2]
  • 2. Doctor Max[3]
  • 3. Bad Luck[4]
  • 4. Mimi na mungu wangu[5]
  • 5. Kisasi cha Utata[6]
  • 6. The waiter[7]
  • 7. Mrembo kikojozi[8]
  • 8. Ukurasa mpya[9]
  • 9. Huba

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Sinema zetu International festival awards (SZIF)[10]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Esha Salimu Buheti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.