Erigga
Mandhari
Erhiga Agarivbie (anajulikana zaidi kwa jina la kisanii Erigga, alizaliwa 30 Machi 1987) ni mwimbaji na rapa kutoka Nigeria.
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Erhiga Agarivbie alizaliwa tarehe 30 Machi 1987 mjini Warri, Jimbo la Delta, ambako alikulia pamoja na familia yake. Pia ni mzaliwa wa kwanza kati ya watoto watano. Alisoma shule ya msingi na sekondari katika shule ya Standard International School.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Erigga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |