Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Erica park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Erica park)

Erica Park au hujulikana kama Uwanja wa Erica Park ni uwanja wa michezo uliopo katika kitongoji cha Belhar cha Cape Town,katika Mkoa wa Magharibi nchini Afrika Kusini. Hadi Juni mwaka 2010, uwanja huu ulikuwa kama uwanja wa nyumbani wa kapa Sporting FC Ikapa Sporting, lakini tangu wakati huo, kilabu hii kwa sababu zisizojulikana walipendelea kucheza michezo yao ya nyumbani katika kitongoji cha Wynberg, Cape Town Wynberg.

Matukio makubwa

[hariri | hariri chanzo]

Uwanja huo unajulikana sana nchini (Afrika Kusini), kwa uwenyeji wake ambapo kila mwaka wa Kombe la Premier la Bayhill, pia inajulikana kama Mashindano ya Bayhill. Mashindano haya ya mpira wa miguu yanajumuisha timu bora zaidi ya 28 za Afrika Kusini za [19|U19], zilizopatikana baada ya hatua ya kufuzu ya awali; zikiongezewa na timu nne (4) za Kimataifa za U19, zilizoalikwa kufanya mashindano kuwa ya kufurahisha zaidi. Mashindano hayo hufanyika kila mwaka kwenye likizo ya Pasaka, ambapo mechi huwa ni nne ndani ya siku sita, kwani timu zote nne hutumia uwanja wa Erica Park wakati huo huo.[1]

Erica Park mwanzoni pia ulichaguliwa kuwa ni kiwanja cha nyumbani (uenyeji), mnamo 11-2010 ligi ya Vodacom ilichezwa katika hatua ya mwisho katika hatua za . [2]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Erica park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Premiercup-Bayhill.co.za. "Metropolitan Premier Cup - Tournament Information". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-03. Iliwekwa mnamo 2011-06-08. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. KickOff (7 Juni 2011). "Venue change for Vodacom Second Division Play-offs". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-11. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)