Nenda kwa yaliyomo

Eric Njuguna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eric Damien Njuguna (alizaliwa mnamo 2003) ni mwanaharakati wa mambo ya hali ya hewa kutoka Kenya. [1] [2] [3] [4] [5]


Eric Damien Njuguna
Amezaliwa 2003
Kenya
Nchi kenyan
Kazi maarufu Uharakati


Njuguna alianza harakati zake za mambo ya hali ya hewa mnamo 2017 baada ya ukame mkubwa Nairobi kuathiri usambazaji wa maji katika shule yao, [6] kwa kushirikiana na kundi la Zero Hour na kisha Fridays for Future Kenya. [7] [8] [9] [10]

  1. Ngcuka, Onke (2022-03-02). "UN ENVIRONMENT ASSEMBLY 5.2: UN official blames greed and politics for damage to environment, encourages youth to use their anger to make a difference". Daily Maverick (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
  2. Rulli, Maggie (2022-11-05). "Here's what young COP26 attendees have to say to world leaders about climate change". ABC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16."One billion children at 'extremely high risk' of the impacts of the climate crisis - UNICEF". www.unicef.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
  3. https://atmos.earth/global-climate-strike-youth-reparations/ iliangaliwa mnamo 23.01.2023
  4. https://www.africanews.com/2021/11/03/young-climate-activists-meet-with-un-chief-antonio-guterres/ iliangaliwa mnamo 23.01.2023
  5. Manishka (2021-10-18). "SWA's 2021 Focus on Climate Action". Sanitation and Water for All (SWA) (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
  6. Syres redaktion (2020-09-23). "Torka väckte Erics klimatkamp - skolstrejkar för planeten på fredag". Syre (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2023-01-25.
  7. "One billion children at 'extremely high risk' of the impacts of the climate crisis - UNICEF". www.unicef.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
  8. Funes, Yessenia (2022-03-28). "Striking for Reparations". Atmos (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-16.
  9. AfricaNews (2021-11-03CET10:09:01+01:00). "Young climate activists meet with UN chief Antonio Guterres". Africanews (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-01-25. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help)
  10. "Teenage Climate Activists Share Their Plans For The Planet In 2021". mindbodygreen (kwa Kiingereza). 2021-01-06. Iliwekwa mnamo 2023-01-25.