Nenda kwa yaliyomo

Eragon (filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Eragon ni filamu ya Kimarekani ya mwaka 2006 iliyoongozwa na Stefen Fangmeier na iliyoandikwa na Peter Buchman kulingana na riwaya ya Christopher Paolini ya 2002 ya jina moja.wahusika wakuu katika filamu hii ni Ed Speleers, Jeremy Irons, Sienna Guillory, Robert Carlyle, Djimon Hounsou, Garrett Hedlund, Joss Stone na John Malkovich.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eragon (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.