Nenda kwa yaliyomo

Enyimba F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Enyimba F.C)
Enyimba F.C.
Jina la utaniTembo wa watu, Mashujaa wa Aba
Imeanzishwa1976; miaka 48 iliyopita (1976)
UwanjaUwanja wa Kimataifa wa Enyimba
(Uwezo: 16,000)
MwenyekitiNwanko Kanu
KochaYemi Daniel Olanrewaju
LigiLigi Kuu ya Nigeria
Tovutitovuti ya klabu

Enyimba F.C. maarufu kwa jina la Enyimba, ni klabu ya mpira wa miguu inayopatikana kwenye mji wa Aba nchini Nigeria.

Inashiriki katika mashindano ya Ligi kuu ya Nigeria. Maana ya jina lao kwa lugha ya Kiigbo ni Tembo wa Watu, jina hili la utani hutumiwa na mji wa Aba pia.[1]

Ikiwa imeanzishwa mwaka 1976, umaarufu wa klabu hii ulianza kuonekana miaka ya 2000 na kwasasa inatambulika kama klabu yenye mafanikio zaidi kutokea nchini Nigeria, hii ni kwasababu walifanikiwa kushinda mataji mawili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Mataji tisa ya ligi kuu ya Nigeria na mataji manne ya Kombe la shirikisho Nigeria, mafanikio hay ani kuanzia mwaka 2001.[2] Taji la hivi karibuni walifanikiwa kushinda ligi ya Nigeria kwa msimu wa 2022-23.[3]

  1. "Finidi takes over reins at Aba giants, Enyimba". Vanguard News (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2021-09-04. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 2022-05-25.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Football, CAF-Confedération Africaine du. "Enyimba set for Raja with eyes firmly on cup prize". CAFOnline.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Juni 2023. Iliwekwa mnamo 2022-05-25.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Enyimba win record ninth NIgeria Premier League". cafonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Juni 2023. Iliwekwa mnamo 23 Juni 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Enyimba F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.