Nenda kwa yaliyomo

Ingaigwanak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Engaigwanan)

Ingaigwanak ni mfumo mpya wa uongozi wa wanawake ulioanzishwa katika jamii ya Wamasai nchini Tanzania.[1] Mfumo huu unaoruhusu wanawake kuwa viongozi, ulibuniwa na kuasisiwa na Rose Njilo ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Mimutie Women Organization.[2]

Engaigwanan ni Viongozi Wanawake wa kimila watakaojihusisha na shughuli mbalimbali za kijamii kama kupinga Ukatili wa kijinsia pamoja na nyinginezo.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ingaigwanak kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.