Eneo Huru la Biashara Afrika
Mandhari
Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) ni makubaliano ya biashara huria ya Afrika kati ya nchi 54 wanachama wa Umoja wa Afrika (AU).[1] Mkataba huo ulitiwa saini mjini Kigali Machi 21, 2018.[2][3][4]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Obonyo, Raphael (2021-12-03). "Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) kukuza sekta ya ubunifu, kutoa ajira kwa vijana". Iliwekwa mnamo 2022-08-12.
- ↑ Loes Witschge (Machi 20, 2018). "African Continental Free Trade Area: What you need to know". Al Jazeera (kwa Kiingereza).
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Africa Set to Agree $3 Trillion Trade Bloc, Without Key Economy", Bloomberg.com, 2018-03-21. (en)
- ↑ "Forty-four countries sign historic African Union free trade agreement", Africanews. (en)