Emmy Gee
Mandhari
Emmanuel Nwankwo (akijulikana pia kwa jina la kisanii Emmy Gee, alizaliwa 1986) ni rapper wa Nigeria ambaye kwa sasa anaishi Afrika Kusini.
Wimbo wake wa kwanza "Rands na Nairas" ulishika nafasi ya 7 kwenye chati rasmi ya muziki ya Afrika Kusini.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "EMMY GEE Biography". MTV Base. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Julai 2014. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "EMMY GEE: SPENDING RANDS AND NAIRAS". Zalebs. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Julai 2014. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emmy Gee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |