Emmi Zeulner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emmi Zeulner (alizaliwa 27 Machi 1987) ni mwanasiasa wa Ujerumani ambaye anawakilisha Chama cha Kijamii cha Kikristo (Christian Social Union ,CSU) katika Bundestag, bunge la shirikisho la Ujerumani.

Maisha ya mapema na elimu[hariri | hariri chanzo]

Mzaliwa wa Lichtenfels, Bavaria, Ujerumani, Zeulner ni binti wa mtunza nyumba ya wageni [1] kutoka Degendorf . [2] Alivutiwea na siasa akiwa na umri mdogo [1] baada ya kusikia ikijadiliwa. [2] Kwenye hafla za kitamaduni, aliwakilisha mji wake kama mtengenezaji wa vikapu. [1] Baada ya kuacha shule, alisoma na kuwa muuguzi. [2] Mnamo 2008 alichaguliwa kuwa diwani wa eneo hilo. [2]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Zeulner na mwenzi wake Jürgen Baumgärtner wana binti.

Marejeleo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmi Zeulner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]