Emmanuel John Nchimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Emmanuel John Nchimbi (amezaliwa tar. 24 Desemba 1971) ni mbunge wa jimbo la Songea Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Emmanuel John Nchimbi (10 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.