Emma Watson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emma Watson
Amezaliwa Emma Watson
15 Aprili 1990
Uingereza
Kazi yake mwigizaji
Watson kwenye Tamasha la Filamu la Cannes la 2013
Watson kwenye Tamasha la Filamu la Cannes la 2013

Emma Charlotte Duerre Watson (alizaliwa 15 Aprili 1990) ni mwigizaji, mwanamitindo, na mwanaharakati wa Uingereza.

Anajulikana kutokana na majukumu yake ya kutoa burudani katika Blockbuster na independent films, na pia kwa kazi yake kwenye haki za wanawake. Watson ameorodheshwa kama miongoni mwa waigizaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emma Watson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.