Emily Syme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Syme akiwa na Bristol City mnamo 2022

Emily Syme (alizaliwa 23 Julai 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya Bristol City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL). [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emily Syme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.