Emiliano Rigoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emiliano Ariel Rigoni ni mchezaji wa soka wa Argentina na klabu ya FC Zenit Saint Petersburg.

Emiliano Ariel Rigoni (alizaliwa tarehe 4 Februari mwaka 1993) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza katika klabu ya FC Zenit Saint Petersburg.

Independiente[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwezi Januari mwaka 2016, alijiunga na Independiente akafunga bao lake la kwanza kwa Independiente dhidi ya klabu yake ya zamani ya Belgrano.

FC Zenit Saint Petersburg[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 23 Agosti 2017, Rigoni alihamia Urusi, akiisaini mkataba wa miaka 4 na FC Zenit Saint Petersburg.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emiliano Rigoni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.