Emden
Mandhari

Emden ni mji na pia bandari iliyoko kaskazini-magharibi mwa nchi ya Ujerumani, katika mto Ems. Ni mji mkuu wa mkoa wa Frisia ya Mashariki. Hadi mwaka 2006, mji ulikuwa na wakazi wapatao 51,692.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya mji
- Kunsthalle Emden
- Johannes a Lasco Library
- Emden Ilihifadhiwa 8 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Kickers Emden
- Chess Ilihifadhiwa 11 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- Cruisers EMDEN, Frigates EMDEN - 5 warships named EMDEN until today (Kwa Kijerumani)
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Emden kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |