Nenda kwa yaliyomo

Ellen White

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ellen Toni White

Ellen Toni White (alizaliwa 9 Mei 1989) ni mchezaji wa soka Timu ya taifa ya Uingereza ambaye anacheza kam mshambuliaji wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Uingereza.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

White baada ya kupitia Academy ya Arsenal Ladies, White alirudi katika klabu hiyo ya Gunners mwaka 2010 baada ya kuachana na klabu ya Chelsea na Leeds United, baadaye akijiunga na Notts County.

kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Ellen White amecheza katika Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA la mwaka 2011,na Kombe la Dunia ya Wanawake la FIFA la mwaka 2015 na Kombe la Dunia ya Wanawake la FIFA mwaka 2019, Alikuwa pia sehemu ya timu ya Uingereza iliyocheza Olimpiki za Summer 2012.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellen White kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.