Ellen Thomas (mwanasayansi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ellen Thomas (alizaliwa 1950, Hengelo)[1] ni mwanasayansi wa mazingira na mtaalamu wa jiolojia mwenye asili ya Uholanzi ambaye amejikita zaidi kwenye eneo la micropaleontolojia ya baharini na paleoceanografia[2].

Ni Profesa [3]katika chuo cha emerita Harold T Stearns na The Smith Curator of Paleontology ya Makumbusho historia ya asili ya Joe Webb huko Wesleyan University, na pia ni mwanasayansi mtafiti muandamizi huko Chuo Kikuu Cha Yale{Reflist}}

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellen Thomas (mwanasayansi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Digitaal Album Promotorum Archived 2018-03-15 at the Wayback Machine at Utrecht University.
  2. "Ellen Thomas, PhD | The People of Earth & Planetary Sciences". people.earth.yale.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-06-01.
  3. "Ellen Thomas – University Professor, College of Integrative Sciences and Research Professor, E&ES" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-06-01.