Nenda kwa yaliyomo

Ellen Kuzwayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ellen Kuzwayo (29 Juni 1914 - 19 Aprili 2006) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na kuifanyia kazi mambo ya jamii. Aliishi Soweto. Sera za apartheid ikiondolewa, Kuzwayo alichaguliwa 1994 kuwa mbunge. Alifariki kufuatana na matatizo ya kisukari akiwa na umri wa miaka 91.

Maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]
  • Call Me Woman (1985; tawasifu)
  • Sit Down and Listen (1990; hadithi fupi)

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellen Kuzwayo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.