Elle Duncan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Lauren Elle Duncan

Lauren Elle Duncan Alizaliwa mnamo mwaka 1983 mwezi 4 tarehe 12 ) ni mwanahabari wa habari za kimichezo nchini Marekani.[1]

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Atlanta[hariri | hariri chanzo]

Duncan alianza taaluma yake katika jiji la Atlanta kama mtangazji wa kujitolea katika kipindi cha michezo cha [sports talk radio show on 790/The Zone].[2] baada ya mwaka aliajiriwa na Ryan Cameron na kujiunga katika kipindi cha Ryan Cameron Show .[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elle Duncan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.