Ella Toone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Toone akiichezea Manchester United mwaka 2023

Ella Ann Toone (alizaliwa 2 Septemba 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Manchester United iliyopo ligi ya Juu ya Wanawake(WSL), na timu ya taifa ya Uingereza.

Aliiwakilisha Uingereza kutoka chini ya umri wa miaka 17 hadi chini ya 21, akifunga bao lake la kwanza la Euro dhidi ya Uhispania mnamo 2022, na lingine dhidi ya Ujerumani kwenye fainali ya Euro 2022, akiisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "List of Players – England". FIFA. 24 September 2016. uk. 4. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 November 2016. Iliwekwa mnamo 2 December 2018.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Drudge, Harriet (19 August 2018). "MATCH REPORT: LIVERPOOL WOMEN 0 UNITED WOMEN 1". ManUtd.com. Iliwekwa mnamo 19 May 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ella Toone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.