Nenda kwa yaliyomo

Elkin Fernando Álvarez Botero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elkin Fernando Álvarez Botero (21 Novemba 19688 Julai 2023) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Kolombia. Alikuwa askofu msaidizi wa Medellín kuanzia mwaka 2012 hadi 2020 na askofu wa Santa Rosa de Osos kuanzia 2020 hadi kifo chake.

Álvarez Botero alifariki akiwa na umri wa miaka 54.[1][2]

  1. "Luto en el Episcopado Colombiano tras el fallecimiento de monseñor Elkin Álvarez Botero". CEC. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Monsignor Elkin Fernando Álvarez Botero, who was peace adviser in Antioquia, died", Euro ES Euro, 8 July 2023. Retrieved on 2024-11-23. Archived from the original on 2023-07-10. 
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.