Elinor Burkett

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elinor Burkett (alizaliwa Oktoba 9, 1946) ni mwandishi, mtayarishaji wa filamu, na mkurugenzi wa hati wa nchini Marekani.

Filamu alizotayarisha ni pamoja na Music by Prudence, iliyoshinda 2009, tuzo ya chuo cha hati bora mnamo Machi 7, 2010.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elinor Burkett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.