Eliezeri (bin Musa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eliezeri alikuwa mtoto wa kiume wa pili wa Musa na Zipora kadiri ya Biblia (Kutoka 18:4).

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eliezeri (bin Musa) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.