Nenda kwa yaliyomo

Eli H. Janney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa mtazamo wa juu wa muundo wa wanandoa wa Janney kama ilivyochapishwa katika maombi yake ya hataza mnamo 1873.

Eli Hamilton Janney (Novemba 12, 1831Juni 16, 1912) alikuwa mvumbuzi wa kifaa cha kushikilia magari ya reli kilichojulikana kama knuckle coupler ambacho kilichukua nafasi ya kushikilia magari kwa kutumia link na pin kwenye reli za Amerika Kaskazini.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. White, John H. Jr. (2007-02-19). "The Strongest Handshake in the World". American Heritage. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-19. Iliwekwa mnamo 2018-11-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eli H. Janney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.