Elfu
Mandhari
Elfu ni namba inayoandikwa 1000 (moja sifuri sifuri sifuri) kwa tarakimu za kawaida, ila kwa namba za Kirumi M tu (kutokana na neno la Kilatini mille, yaani elfu moja). Miaka elfu inaitwa milenia, kutokana na Kilatini millennium (ambapo mille ni elfu na annus ni mwaka).
Ni namba ambayo inafuata 999 na kutangulia 1001. Jina linatokana na Kiarabu na kutamkwa pia alfu.
Ni namba asilia inayofuata 999 na kutangulia 1001.
Inaweza kuandikwa pia 103.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 5 x 5 x 5 (au 23 x 53).
Matumizi
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- Wells, D. The Penguin Dictionary of Curious and Interesting Numbers London: Penguin Group. (1987): 133
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elfu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |