El Mourouj

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

El Mourouj ni mji mkubwa zaidi wa wilaya ya Ben Arous huko Tunisia.

Mwaka 2020 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 118,316. Hivyo ni mji wa kumi kwa ukubwa nchini Tunisia, na upo karibu na mji mkuu Tunisi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu El Mourouj kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.