Nenda kwa yaliyomo

El-Haria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

El-Haria ni sehemu ya kihistoria nchini Tunisia kaskazini mwa Kairouan,Sehemu hiyo ndio iliyotoa jina la eneo hilo, mfumo wa jiographia wa kipindi cha Paleocene iliochukua sehemu kubwa la Tunisia ya kati. Sehemu hiyo imejaa magofu ya kirumi na unajulikana kama mji wa kale wa Roma.